Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakua alikua spid sana. Maana kwa hali ya kawaida ya 50kmh hapa mjini gari kuingia mtaroni na kusababisha kifo ni nadra sana. Lazima atakua alikua spid kali sana.Gari imeingia mtaroni kwa upande aliokuwa yeye
Bado mdau wa clouds hadi umauti wakeKuna kipindi nilikua namskia clouds, je alishatoka?
STAR TV na Redio Free Afrika, huyu jamaa alikuwa zaidi ya lulu kwenye tasnia ya habari.
Amepata ajali hapa Kawe muda mfupi uliopita.
Wangari Maathai my Darling, nimekutana na Ban ya ghafla kwa sababu ya yule Taga.
Nani alimpangia? Vifo havipangwi hata siku moja.Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
Sijui na sisi tumepangiwa vipi?
R. I. P
Bila kusahau sindano tano za motoREGE RAGGA POWER (RFA) MIAKA HIO
Huyu ndo George Bantu[emoji39][emoji39][emoji39]anavutia kama sauti yake isiyochosha,RIP fedrwaaaUmeamua kunisema mhuni si eti!!View attachment 1816276