TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kama kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo Dar es salaam, taarifa za awali zinasema amefariki baada ya kupata ajali Kawe akiwa yeye ndio anaendesha akiwa na abiria mmoja ndani ya gari ambae yeye amejeruhiwa tu.

Fredwaa amewahi kufanya kazi kama Mtangazaji kwenye vituo mbalimbali vya Radio kama Radio Free Africa Mwanza pamoja na CloudsFM Dar es salaam, tunaendelea kufatilia zaidi ili kukuletea taarifa kamili kuhusu kifo chake na msiba…. pumzika kwa amani Fredwaa.
 
Nini tatizo na kafia wapi? Chanzo cha habari kiko wapi? Habari mbona ½ nusu
Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kama kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo Dar es salaam, taarifa za awali zinasema amefariki baada ya kupata ajali Kawe akiwa yeye ndio anaendesha akiwa na abiria mmoja ndani ya gari ambae yeye amejeruhiwa tu.

Fredwaa amewahi kufanya kazi kama Mtangazaji kwenye vituo mbalimbali vya Radio kama Radio Free Africa Mwanza pamoja na CloudsFM Dar es salaam, tunaendelea kufatilia zaidi ili kukuletea taarifa kamili kuhusu kifo chake na msiba…. pumzika kwa amani Fredwaa.
 
Oh what a loss ! Mungu awape faraja familia yake hasa mke wake Rahabu na watoto wao
 
Back
Top Bottom