Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Apumzike kwa Amani ðŸ˜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OooohMtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.
Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?
View attachment 1816260
HeheeiiiiiyaaaaPole kwa uongozi wa TBC
so sorry kwa wapendwa wake hasa MKE, popote alipo mke wa FREDWAA na mpa pole maalum, najua hili, nampa pole, mungu amjalie kuwa na moyo mkuu.Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.
Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?
STAR TV na Redio Free Afrika, huyu jamaa alikuwa zaidi ya lulu kwenye tasnia ya habari.Pole kwa uongozi wa TBC
Huyu mwamba alikuwa na sauti ya kipekee Sana redion nakumbuka akiwa RFA enzi hizo inatamba sana na kile kipindi Cha saa mbili asubuh jumatatu Hadi ijumaa...Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.
Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?