Na kile kibwagizo chake cha Mtoto anacheka Sana.Duh! RIP ntamkumbuka sana akiwa RFA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kile kibwagizo chake cha Mtoto anacheka Sana.Duh! RIP ntamkumbuka sana akiwa RFA.
Hivi inakuwaje watu mnachanganya vitu hivi?..Fredwaa hajawahi kutangaza na kina Gadna..alikuwa PB around saa 11- 01 asubuhi.Alikuwa Clouds nilikuwa namsikia kipindi chao cha jion na Gadna ..R.I.P.
Je huu ni uungwana, la hasha si uungwana.Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.
Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?
Duh!!!!,Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.
Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?
It's true. Kuna kipindi alikuwa kimya watu wakadai katimuliwa ila baada ya muda akaskika tena kwa muda kidogo then akawa kimya hadi ninapopata taarifa hizi za kifoHivi inakuwaje watu mnachanganya vitu hivi?..Fredwaa hajawahi kutangaza na kina Gadna..alikuwa PB around saa 11- 01 asubuhi.
CloudsfmNi wa kituo gani?
Basi nimechanganya majina.Hivi inakuwaje watu mnachanganya vitu hivi?..Fredwaa hajawahi kutangaza na kina Gadna..alikuwa PB around saa 11- 01 asubuhi.y
Saivi yuko clouds fm asubuhi anajiita energy... (Alikua)Pole kwa wafiwa
Namkumbuka akiwa RFA kipindi cha saa moja mpaka mbili asubuhi hasa pin tatu za moto na vichekesho
Utamezwa ba samakiAlipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
Sijui na sisi tumepangiwa vipi?
R. I. P
Alidandia bandiko, baadaye kashituka kaandika uongo na amefuta komenti yake!.Kuna kipindi nilikua namskia clouds, je alishatoka?
Clouds alishatokaSaivi yuko clouds fm asubuhi anajiita energy... (Alikua)
Basi ndio maana sikua namsikia ..Clouds alishatoka
Amepata ajali hapa Kawe muda mfupi uliopita.Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.
Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?
Imani za kijinga kabisa alipangiwa na nani,Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
Sijui na sisi tumepangiwa vipi?
R. I. P
Ajali gani?Amepata ajali hapa Kawe muda mfupi uliopita.