TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.

Sijui na sisi tumepangiwa vipi?

R. I. P
Huko ni kukata Tamas ya maisha. Kama unashindwa kufuata sheria za barabarani au kushindwa kufuata ushauri wa kitatibibu unategemea nini.jiulize kwanini ulaya Kuna kazi za kutunza wazee
 
Miaka ya 2000 Rfa ilikuwa vizuri kina Ahmed baragaza na kipindi cha lugha gongana na salam chapchap..rahabu fungo kipindi cha habari saa tatu kasorobo usiku..
 
O. M .G[emoji134][emoji134][emoji134][emoji22][emoji22]

I loved this guy na ule muungurumo wa sauti + jokes zake kwenye pindi lake[emoji22][emoji22][emoji24]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Na sehemu aliyopatia Ajali na Kufia eneo la Msonge mpaka Tanganyika Packers kila Mwaka lazima Mtu afe kwa Ajali. Inasemekana kuna Mdudu.
 
Back
Top Bottom