TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

Kwa hiyo kutoka jana jioni mpaka leo amelalia kitanda cha baridi...!!!?
duh maisha haya !!!!
alitoka asubuhi kwake salama kabisa na chai akanywa kwa matarajio ya kurudi kwa mkewe jioni.....
wakuu tumuombe Mungu jamani maisha ni mafupi sana....
Kweli kabisa aisee.
 
“Inaonekana dereva alikuwa amelewa wakati akiendesha gari liliacha njia na kuingia mtaroni eneo la Tanganyika Packers karibu na sehemu ambayo Mchungaji Boniphace Mwamposa huwa anatoa neno, mtangazaji (Fredwaa) alifariki ila dereva tunamshikilia,” amesema Kingai.
Dereva alikuwa amelewa, sad
 
Nilisikiaga kuwa jamaa anapenda sana sana ulabu[emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Jana nimebishana Sana na mtu alikuwa anasema kulingana na mazingira ya ajali kuna uwezekano marehemu alikuwa maji...yaani nimebisha fredy hanywi kabisa ...labda gadna ndio Cha pombe pale clouds....usiku naona taaarifa awali kwamba kuna viashiria dereva alikuwa amelewa....daah!!
 
Ni pigo jamaa alikuwa mcheshi,mtangazaji bora nilikuwa na enjoy alivyokuwa anatumia ile sauti ya watoto studio akiwa RFA daah yani alikuwa m'bunifu sana,ukija kwenye sindano tano za moto alikuwa anajua kupangilia nyimbo daah[emoji24][emoji24]
 
Jana nimebishana Sana na mtu alikuwa anasema kulingana na mazingira ya ajali kuna uwezekano marehemu alikuwa maji...yaani nimebisha fredy hanywi kabisa ...labda gadna ndio Cha pombe pale clouds....usiku naona taaarifa awali kwamba kuna viashiria dereva alikuwa amelewa....daah!!
Duuh...ila kifo ni kifo tu

Hata ufanyeje time yako ikifika hakika lazima urudishe jezi[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom