Mtangazaji gani wa ITV anakuvutia?

Mtangazaji gani wa ITV anakuvutia?

Magreth Cosmas ila naye sikuhzi simsikii ITV wala Radio One sijui kashasepa zake
 
Itv inawatangazaji bwana ata cwez kutaja mmoja ila farhia midle sam mahela na hemed kivuyo wananivutia zaid
 
Kabla sijakuwa mdau wa Azam Two nilikuwa navutiwa na Jackline Silemu, Abdallah Mwaipaya na Sam Mahela, ila kwasasa nadiriki kusema nakoshwa sana habari ya Azam Two, wapo vizuri saaana.
 
Benjamini mzinga navutiwa na ile sura yake i wish nikutane nae in private hata tupige selfie tuu inatosha ..btw nahisi hajaoa bado(demu wake anafaidi[emoji1][emoji1])siyo kwa sauti ile daah
 
Back
Top Bottom