Mtangazaji gani wa TV anaye kuvutia hapa Tanzania?

Tofautisheni watangazaji wa taarifa ya habari-news anchors na reporters
 
Sauda Mwilima bado yupo Star TV?

Sikumbuki mara ya mwisho kuangalia Star TV
 
Aiseeh
 
Naruhusiwa kutaja wale wa Cjtizen Tv ya kenya? Maana hapa bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…