Mtangazaji gani wa TV anaye kuvutia hapa Tanzania?

Nipo nje ya topic. Ivi uyu mtangazaji wa RFA alipoteleaga wapi wandugu????

FREDUWAA

Katika watangazaji hapa bongo this guy nilikua namkubali mnoo
 
Mimi namkubali na kumpenda sana Flora Mwano wa TBC, km kuna mwny namba yake tafadhali naomba mnisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…