Mtangazaji gani wa TV anaye kuvutia hapa Tanzania?

Mtangazaji gani wa TV anaye kuvutia hapa Tanzania?

Mwanzo kbl hajaendaa kuwa mkuu wa wilaya ya muhezaaa jmn
....Godwin Gondwe....mimi pendaa sana yeye miaka 10000....
>Salim kikeke ....nampendaa Sanaaaa....... Wa tatu yule kaka anae somaga Sana habari za michezoo naniii jina linanitokaaa ......wa ITV
 
Unamzungumzia, Amri masare a.k.a(super sub).
 
Ivona kamuntu, angekuwa hajaolewa kingeeleweka tu
Hahaha....never mind boss, Haijalishi kama ameolewa wala nini...ukipenda mzigo unapindua serikali kama alivyofanya Iddi Amin kule Uganda. zama za ujana wangu nilipindua serikali nyingi zilizokuwa madarakani, useme tu hatukuwa na vyombo vya habari vya kutangaza mapinduzi hayo....
 
Jack Silemu
Kamuntu,Nyamwihula
Charlz Hillary
Na ka julieti robati jamani....kameanza anza vizuri

But ili uwe mwandishi mzuri,soma sana,uwe na reading list pana,kama una mjadala wa masuala ya umeme,viwanda,watoto,

Make sure umesoma maandiko na vitabu kadhaa!!

Pia waandishi wawe na programu ya vipindi japo ya miezi sita mbele,mwezi mmoja kabla unajiandaa kwa kusoma maandiko,mitandao nakadhalika,pitia ripoti za mawaziri,Taasisi,utafunika mbaya,pia watu wa graphics wapewe statistics,vionjo,nukuu mapema ili waandae jingles za kuvutia na wamkabidhi muwasilisha mada azizoee na ajue kucheza nazo wakati wa kipindi
 
Back
Top Bottom