Mtangazaji Ivona Kamuntu

Unajua kuna ile mtu kupenda kitu fulan so unaweza kuta anayo zaidi ya 5,mbona mm nina Raba zaidi ya 5 sababu ya kuzipenda tuu
Wewe kama nani hadi tukujadili? Peleka uwahed wako huko.
 
Ukimaliza kuchunfuza Azam TV hamia ukachunguze na TBC kuna dada mmoja kila siku habadilishi wigi, kila siku anavaa hilo hilo tu ni mwaka wa kumi sasa...
Hata wewe unaweza ukamuanzishia uzi mkui.

Mbona hujiamini? Au umegushi vyeti?
 
mtoa huzi ww ni kilaza kama vilaza wengine, binti anavaa nguo za heshima ww unamtukana ulishazoea wengine wanao vaa nusu uchi km utaki hama kingamuzi.
Siku ukihama kwa shemeji yako ndio uje unishawishi na mimi nihame king'amuzi.
 
Wee jamaa una maktaba kubwa eee? Maana kule kwa Mh. Mwambugu umeleta kumbukumbu ya aina yake
Kanazidi kupendeza haki kabinti naona maji ya bahari ya hindi yamekakubali sana, hakafanani kabisa km ndio kale kalikokuwa kanasoma vichwa vya habari vya magazeri pale Star TV. ..ama kweli Dar ndio kila kitu nadhani carolite mwisho ni Chalinze.
 
Hapana mkuu ilaelekea ww na meanao mna passion sawa
Nilipokuwa mahali fulani binti huyohuyo alitaka kumuona mtangazi mmoja wa kike(Yunnus)na alifanikiwa na akakaribishwa studio kutembea it was very simple.
Namuona binti huyu anataka au anapenda aje awe mtangazaji cum reporter...hiyo ndiyo sababu kubwa and nothing else.
 
Ukimaliza kuchunfuza Azam TV hamia ukachunguze na TBC kuna dada mmoja kila siku habadilishi wigi, kila siku anavaa hilo hilo tu ni mwaka wa kumi sasa...

Aiseeeeh,
Mtafukuzisha watu kazi na kuwaharibia ndoa ama mahusiasno yao Jamani.

Eeeh, watanzania iweni na huruma.

Jamani acheni, "USHILAWADU' kwenye maisha na kazi za watu"
 
Mtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu
Abu Huraira reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Verily, Allah does not look at your appearance or wealth, but rather he looks at your hearts and actions.” Source: Ṣaḥīḥ Muslim 2564
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 

Nachelea ' kumchana ' Shemeji yangu huyu kwani Mume wake Raymond Nyamwihula ' Genius wa Masuala ya Radio na Television ' ni ' Kamarada ' wangu mzuri sana na ndiye aliyenipokea mwaka wangu wa Kwanza nikiwa SAUT Mwanza na aliniongoza vizuri mno Kitaaluma. Kwenye huu ' uzi ' nitabaki tu kuwa ' Mkodoaji ' niliyetukuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…