Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe unaweza ukamuanzishia uzi mkui.Ukimaliza kuchunfuza Azam TV hamia ukachunguze na TBC kuna dada mmoja kila siku habadilishi wigi, kila siku anavaa hilo hilo tu ni mwaka wa kumi sasa...
kaficha kitovu na mtuno wa v-shape maana matege dizaini hiyo lazima mbele patune
Kanazidi kupendeza haki kabinti naona maji ya bahari ya hindi yamekakubali sana, hakafanani kabisa km ndio kale kalikokuwa kanasoma vichwa vya habari vya magazeri pale Star TV. ..ama kweli Dar ndio kila kitu nadhani carolite mwisho ni Chalinze.Wee jamaa una maktaba kubwa eee? Maana kule kwa Mh. Mwambugu umeleta kumbukumbu ya aina yake
Hapana mkuu ilaelekea ww na meanao mna passion sawaHapana.....mimi nimemaliza mambo hayo sasa hivi naitafuta akhera yangu (mbingu)
.Umefata nini kwenye uzi wa kitoto kama ulivyodai?
Wahed ni wahed tu.
Nilipokuwa mahali fulani binti huyohuyo alitaka kumuona mtangazi mmoja wa kike(Yunnus)na alifanikiwa na akakaribishwa studio kutembea it was very simple.Hapana mkuu ilaelekea ww na meanao mna passion sawa
Ukimaliza kuchunfuza Azam TV hamia ukachunguze na TBC kuna dada mmoja kila siku habadilishi wigi, kila siku anavaa hilo hilo tu ni mwaka wa kumi sasa...
Abu Huraira reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Verily, Allah does not look at your appearance or wealth, but rather he looks at your hearts and actions.” Source: Ṣaḥīḥ Muslim 2564Mtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu
[emoji38][emoji38] bwana Nyamwihula atafikisha ujumbe
Mtangazaji wa Taarifa ya habari ya Azam two, Ivona Kamuntu jitahidi ubadilike kwani unatuboa sisi watazamaji wako wa taarifa ya habari. Umekuwa na tabia ya kurudia rudia hilo gauni lako la kitenge kama vile huna nguo nyingine. Badilika kwani ujue Azam Two inaangaliwa mbali sana hivyo unawaaibisha waajiri wako. Mnaofatilia Azam news ya Azam two mtakuwa mmenielewa.
Naamini ujumbe wangu umefika.
Duh! KumbeHuyu ni mke wa kijana mwenzetu Raymond Nyamwihula. Tumuheshim kijana mwenzetu na ndoa yake.
Kwa ufupi,Ivona Raymond Kamuntu ni shemeji wetu huyo.