Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Hapa kuna watazamaji na ushangiliaji wa vipindi,



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hivi wewe ndio Hamis Fully Migebuka ama Deo wa Kota ? Samahani lakini
 
hawa watangazaji mnawaimbaimba kwa mapambio sijui Lil Ommy nk sijaona talent zao za kuwazidi wakongwe wa hii game B dazen na Adam mchomvu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee acha chuki za kipuuzi wewe si ndo ulikuwa unamponda jonijo au so wewe hiv wasafi walikufanya Nini mpaka unachuki nao sana
🀣🀣🀣 wote humu tulikua tunaponda ugoro uliokua unafanyika kwenye block 89 na sio Jonijo personally na tulikua tunasema hapa kabisa wale kina mtu imara ndiyo wazinguaji wakuu.
Vipi unataka uamishe magoli baada ta bango kuungua??
 
Binadamu bhna mwanzo walikua wanasema kipindi kimejaa kelele haki eleweki saivi tena mme kuja kitofauti duh
 
Binadamu bhna mwanzo walikua wanasema kipindi kimejaa kelele haki eleweki saivi tena mme kuja kitofauti duh
Kweli kabisa watu walikiponda kile kipindi cha block89 na kusema hakieleweki leo hii wameona kilikua na umuhimu na tena wanawema wasafi wanaenda kufeli,watu vigeu vigeu na wengi ni Haters leo hii wanamuona jonijoo ndio kila kitu na wanamkubali ile mbaya
 
Nakupeleka shule leo.

Kazi ya presenter inahusiana na personality ya muhusika, kama personality yako ni ya kipuuzi kama Mtu Imara utakosa kazi na kuishia kufungua youtube channel na you will never be a brand ever.

Hao wote uliowataja ni "personality" zao ndiyo zimetengeneza brand na wakawa wao kama wao.

Hebu futa makamasi na kubali tu biashara ni ushindani leo Jonijo kapata dau nono kasepa Efm kama ambavyo Ommy alivyotoka times na kwenda wasafi kufata dau nono.

Kama radio inatengeneza brand, Je Mtu imara ni brand? Je Mtu Imara ni brand iliyotengenezwa na wasafi radio???
Personality = Brand
 

πŸ‘πŸ‘πŸ‘ We kweli mchambuzi. Akikujibu niTag.
 
Sikiliza Interview ya Diamond alivyokuwa Mwanza Wasafi festival ya mwaka huu alizungumza nini kuhusu Jonijoo na Block 89 yake.

Alafu hivi Aliyah na mtu imara wana potential gani?
 
Hahaha mkuu sijui umesoma shule gani kwamba umaarufu wa mtu(mfanyakazi)unazidi umaarufu wa kampuni duuh?
 
🀣🀣🀣 wote humu tulikua tunaponda ugoro uliokua unafanyika kwenye block 89 na sio Jonijo personally na tulikua tunasema hapa kabisa wale kina mtu imara ndiyo wazinguaji wakuu.
Vipi unataka uamishe magoli baada ta bango kuungua??
Ulimdhihaki jonijo Mara ukaanza kusema bango kubwa sijui linawaka Moto me nikakuambia jonijo na Aliyah ndio walitakiwa wabaki block 89 wewe ukapinga au mzee unazani technology inadaganya? Chochote kinachohusu Wasafi kizuri lazima upinge sijui wasafi walikukosea Nini? Kwa umri ulionao na mambo inayofanya humu jamiiforum hata ufanani mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…