Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Duu mshahara hapewi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],una,nasikia wale watoto wa Kings nao walikuwa hapewi hata ganji wanalala sebureni au hawa hufaam.

Ila jamaa unadata za WCB,ila za King's hauna.

Mimi sitegemei uwasigie Wasafi na haitokuja kutokea.
Anzisha uzi wa kings
 
Labda ww ndo umemjua kupitia wasafi..mabos wako wenyewe walimjua kabla ndo maana wakamsaini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jonijoo amekuwa branded na Wasafi na si Radio yoyote wala Youtube.

Umma wa watanzania walio wengi wamemjulia wasafi, anajadiliwa kwa sababu alikuwa wasafi vinginevyo hakuna ambaye angemjadili.
Binafsi nimemjua Jonijoo muda sana na mdogo wangu ameshafanya interview nae (ni mwanamuziki) ila kumjua kwangu kitambo hakuleti maana watanzania wengi walikuwa wanamfahamu tayari.

Mtu wa Kigoma, Mwanza, Tabora, Shinyanga, Mara, Katavi, Kagera, Singida, Dodoma, Moro town, Iringa, na hata Morogoro angemjuaje John na hasikilizi Radio?
 
kama ulikuwa humjui uko YouTube basi wewe ni bendera
Not everyone watches YouTube wewe kiswaswadu.
Ana subscribers 300K tu umaarufu alioupata wasafi ni mara million 10 kuliko aliokuwa nao.

Nionyeshe uzi mkimjadili kabla hajaenda Wasafi haupo kacheze rede
 
Back
Top Bottom