Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Hoja zimekuwa ni nyingi sana juu ya bwana mdogo jonijo kuondoka wasafi,kimsingi binadamu huwa tuna kitu kinaitwa mahitaji na mahitaji ya binadamu yanazalishwa ktk kiwanda cha dream,huenda kijana alikuwa na mahitaji mengi ili atimize dreams zake, issues za kimaslai huenda zilikuwa hazikizi mahitji good for him EFM wakaweka odds nzur yeye ni nani asifuate odds zilizoshiba(human nature).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja zimekuwa ni nyingi sana juu ya bwana mdogo jonijo kuondoka wasafi,kimsingi binadamu huwa tuna kitu kinaitwa mahitaji na mahitaji ya binadamu yanazalishwa ktk kiwanda cha dream,huenda kijana alikuwa na mahitaji mengi ili atimize dreams zake, issues za kimaslai huenda zilikuwa hazikizi mahitji good for him EFM wakaweka odds nzur yeye ni nani asifuate odds zilizoshiba(human nature).

Sent using Jamii Forums mobile app
100%.
 
sasa Kama wameanza kuwaachia mapresenter wakali kama jonijoo basi kifo cha mende kinawakaribia,

katika wakati kama huu,wasafi wanahitaji top presenters wakuzidi na si kumtegemea lilyommy tu,

nitashangaa kama watamwacha na yule dem anaeongea kienglish sana goes by the name calypso

yule demu anajua sema atafutiwe program nzuri either kwenye radio au TV,huwa anawasaidia kwenye interview zinazohitaji presenter aongee kizungu,

kuhusu mwamba kachili,yule Hata akisepa sawa tu.
maana hana jipya sana

na hilo suala la kusema amemkimbia lilyommy kwakweli yuko sahihi maana ni kama media imeamua kumfanya ommy kama ndio mkuu wa vipindi vya interview,

wakati na yeye anaona ana uwezo sana tu,kwaio ameona ni Kama ameshushwa hadhi na kudharauriwa na kipindi chake kufutwa,

hata ningekuwa Mimi ningesepa aisee

in general am disappointed by what happened.
 
Kings ilianza kusikika vizuri sana,sijajua kwa sasa kama bado wana moto uleule wa mwanzo.
Abood siichukulii poa ila ni Radio ndogo ndogo sana kiongozi.

Inapatikana 101.7 DSM, 106.9 Dodoma, 104.9 Mbeya. Morogoro, Manyara, Iringa, Pwani, Tanga na Zanzibar sikiliza Abood fm kupitia 89.9 fm.

Nenda Manyara, Mbeya, Iringa, Dodoma hata DSM tafuta watu wa kawaida kabisa waulize kuhusu hii Abood fm kama hawatakwambia wanalijua Bus tu tafuta wasikilizaji wa Radio maana watu wengi wa haya maeneo sio wasikilizaji wa Radio nadhani katika watu elfu 500 ni mmoja ama wawili [emoji12]

Abood ni sawa na Dodoma Fm tu haifikii hata umaarufu wa Kings Fm watu wa nyanda za juu kusini watakwambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasisi tulio wahi kuajiriwa....
Nafikiri hapa sio issue ya ushabiki, Bali ni package ime speak lauder than ping pong
 
Hakika nitaendelea kutoa Lawama zangu kwa Diamond kuacha Jonijo aondoke aisee hii ni hasara kabisa! Hivi kweli Diamond na uwekezaji wote ule amemuacha jonijo kaondoka kweli kabisa Jamani?


Nafikiri Diamond alifanya kosa sana kuua kile kipindi cha block 88.9 aiseee nitashagaa na Calypso akiondoka!

Kwenye hili Diamond kapata hasara maana media yake bado changa aiseee


Naendelea kusema wazi Diamond alikosea sana kuua block 88.9

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom