Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Bado hatamsaidia huyu.
Avunje tu kibubu amung'oe dozen na demu mmoja wapo pale xxl
Amng'oe vipi mzee baba huyo Dozen akienda Wasafi ni ameenda tawi lile lile la Clouds, au umesahau Kusaga anazimiliki zote?
 
Diamond alichokosea ni kuwaleta watangazaji wenye uwwzo pamoja wasafi.. Na kitenfo cha kumpa lilommy spotligjt kubwa ku host kipind cha the switch. Na kile cha block 89 kufutwa. Kitendo hicho kime wanyima spotlight watangazaji wa block89 ( jonojoo. Aaliya. Mtuimata na calypso) kitendo hivho kinampelekekea jonijoo kitafta spotligjt Tv E kwa majizo. Maana wasafi hapati ile spotlight kam ya zamazni kwa sababu ya ujio wa lilommy.. N ukienda cloud tv kina B dozen. Wasafi tv kuna lilommy. Tv E kuna Joniijoo spotght kwa watangazi wote ina balance . ( sahvi kina aaliyah, calypso na mtuimara hawaonekai wamebakiza kpindi kimoja tu.. Ni kitendo cha kujiongeza tu
 
Taarifa zinasema kwamba mtangazaji na interviewer mwenye kipaji cha kipekee hapa bongo "Jonijoo" ametoka wasafi na kusajiliwa na Majizo wa EFM na TVE

Jonijoo kwa wakati alipokua Wasafi Media alihost vipindi kadhaa ikiwemo "The Bar tender" na baadhi ya interview za wasafi FM.
Wasafi bwana wanafurahisha sana hahahahahaaaaaaa..wanajikutaga wanajuuuuuua haya WASANII WANAKIMBIA,WATANGAZAJI WANAKIMBIA,WANAWAKE MLOZAA NAO WANAKIMBIA mna matatizo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimdanganya Jamaa wakachukua idea yake ya kipindi cha Now you Know Wakaamishia Bartender Sasa kijana kastuka kakimbia
Wangekimbiwa wengine ungesikia kashfa zao kunguru hao...eeeh hajui biashara,hajui nn, kama walivyoondoka madogo wa KINGS wao wakasahau kabisa kama hata mavoko na MMAKONDE waliondoka kwao pia, sasa kaondoka JONIJOO wamekuwa baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kama hawapo sheeeenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom