Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Vipi mkuu mbona kama umeghafilika 🤣🤣Duu mshahara hapewi 🤣🤣🤣🤣🤣,una,nasikia wale watoto wa Kings nao walikuwa hapewi hata ganji wanalala sebureni au hawa hufaam.
Ila jamaa unadata za WCB,ila za King's hauna.
Mimi sitegemei uwasigie Wasafi na haitokuja kutokea.