Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

siyo kweli mzee Kama utakuwa mfatiliaji mzuri wale wazamini wake wote wapo wasafii

So, makampuni yanajua jamaa yupo vizuri kwenye fans kwenye online tv Hadi air time radio

Enough
Saivi atakuwa anapatikana kupitia wasafi digital.


Sent using myLG leon
 
Alijipa umaarufu mwenye kupitia kipindi cha cha Now You Know youtube, au humjui, unataka kusema wasafi ndo wamempa umaarufu?
Umaarufu alionao sasa kaupatia YouTube? Funny 😁
 
Alianza Mtiga sasa Jon, wataishako huko nasikia hata mishahara wanacheleweshewa hawapewi kwa Wakati
Duu mshahara hapewi 🤣🤣🤣🤣🤣,una,nasikia wale watoto wa Kings nao walikuwa hapewi hata ganji wanalala sebureni au hawa hufaam.

Ila jamaa unadata za WCB,ila za King's hauna.

Mimi sitegemei uwasigie Wasafi na haitokuja kutokea.
 
Kwani Mkuu Abood unaichukulia simple simple eehh..? Endelea hivyo hivyo na zarau zako
Abood siichukulii poa ila ni Radio ndogo ndogo sana kiongozi.

Inapatikana 101.7 DSM, 106.9 Dodoma, 104.9 Mbeya. Morogoro, Manyara, Iringa, Pwani, Tanga na Zanzibar sikiliza Abood fm kupitia 89.9 fm.

Nenda Manyara, Mbeya, Iringa, Dodoma hata DSM tafuta watu wa kawaida kabisa waulize kuhusu hii Abood fm kama hawatakwambia wanalijua Bus tu tafuta wasikilizaji wa Radio maana watu wengi wa haya maeneo sio wasikilizaji wa Radio nadhani katika watu 500 ni mmoja ama wawili 😜

Abood ni sawa na Dodoma Fm tu haifikii hata umaarufu wa Kings Fm watu wa nyanda za juu kusini watakwambia
 

Attachments

  • 20200427_230605.jpg
    20200427_230605.jpg
    58 KB · Views: 2
Back
Top Bottom