kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Lil Ommy Na Jonijoo sijui kuna nini kati yao ilianzia Times FM , Jonijoo akasepa kumuacha Lil Ommy now tena Wasafi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamini haya kweli ni maoni yako ila sijayapenda alafu una-element ya U-clouds fmIpo hivi..
Mtangazaji kwenda kujiunga na Clouds ama Efm - Ni sawa na timu ndogo kwenda ligi kuu.. Yani timu iliyokuwa inashiriki daraja la kwanza, sasa inaenda kucheza igi kuu na magiant wenzake..
Lakini Mtangazaji kutoka Efm ama Clouds kwenda Wasafi Fm/tv - Hapo ni sawa na mchezaji toka ligi kuu kwenda kusajiliwa timu ya ligi daraja la kwanza
Kumbuka, kuna vitimu vya daraja la kwanza nk vinauwezo kiuchumi kuliko hata hao wanaochezea ligu kuu
Kwa hiyo huyo jamaa amepanda daraja..
Maoni yangu
Inasemekana baada ya kuja lil ommy kipindi cha block 89 kilitakiwa kiwe kinafanyika siku ya jumamosi hivyo jonijo hakukubaliana nalo ikapelekea kusimamishwa kazi pamoja na wenzake expt AliyahJonijoo alikitaka kipindi cha Switch. Bora kajiongeza. Kuliko kubaki WCB na kuwa second best.
Wasafi hamna kitu ule ulikua ni upepo tuMhhhh unafiki.
Jonijo mzuri na hajawahi kuflop.
Kaflop, ukweli ni kwamba watu wengi walikua wanamfatilia kwenye Youtube chanel yake kuliko redioniLILIY OMYY
siyo kweli mzee Kama utakuwa mfatiliaji mzuri wale wazamini wake wote wapo wasafiiKaflop, ukweli ni kwamba watu wengi walikua wanamfatilia kwenye Youtube chanel yake kuliko redioni
Bado hatamsaidia huyu.Majizzo naye ameona asilale
Biashara ya sasa inahitaji ubunifu kuliko kitu chochote
Atakua Aliyah , ngoja Ramadhan imalizikeukipata unipe zile za yule white[emoji23][emoji23]..ana dental formula ninayoikubali
Mimi wewe sitegemei uisifie wasafi,hata si shangai.Wasafi hamna kitu ule ulikua ni upepo tu
Wale jamaa wa jicho la kugundua vipaji.Ndo maana mi nawaelewa sana EATV Radio na TV, yamepita majembe lakini ngoma hadi kesho inabamba tu