1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Hapa kuna watazamaji na ushangiliaji wa vipindi,Ila wabongo tuache roho mbaya kabla ya Jonijoo kusepa nyuzi nyingi humu zilikuwa zinaponda kipindi cha block 89 wakidai ni kama genge la kihuni mara ooh wapiga makelele. Leo hii mtaalam kasepa wanadai kilikuwa kuwa kipindi bora sana hakikutakiwa kufutwa[emoji2].
Nimejifunza: Hawa ndio watanzania ukitaka kufanya jambo lako fanya tu usiangalia wanasema nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app