Jonijoo amekuwa branded na Wasafi na si Radio yoyote wala Youtube.
Umma wa watanzania walio wengi wamemjulia wasafi, anajadiliwa kwa sababu alikuwa wasafi vinginevyo hakuna ambaye angemjadili.
Binafsi nimemjua Jonijoo muda sana na mdogo wangu ameshafanya interview nae (ni mwanamuziki) ila kumjua kwangu kitambo hakuleti maana watanzania wengi walikuwa wanamfahamu tayari.
Mtu wa Kigoma, Mwanza, Tabora, Shinyanga, Mara, Katavi, Kagera, Singida, Dodoma, Moro town, Iringa, na hata Morogoro angemjuaje John na hasikilizi Radio?