Mtangazaji Juma Lokole amuombea Steve Nyerere cheo

Status
Not open for further replies.

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Anaitwa Juma lokole ni mtangazaji mwenye elimu ya darala la saba kwa wanaoojua tangu akianza michezo michafu akiwa mdogo sana huko sinza hawashangai sana issues zake, kijana huyo alikuwa analelelewa na bibi yake ambaye alipiga hadi akachoka ikabidi amuachie tu kijana aendelee na starehe yake

Baadye akaja kuwa mnenguaji wa fm academia ambapo mababa ya kicongo ya bendi hiyo yaliendeleza libeneke na leo ni mwajiriwa wa wasafi fm kwenye bio yake imeandikwa radio personality

Mtu kama huyo utamueleza nini kuhusu elimu? Wakati kibongobongo keshafanikiwa?ssa kijana anamuombea steve nyerere akumbukwe kwenye mgawanyo wa vyeo

Nasi tunaungana naye kumuomba mama Samia kwamba huo mkeka ujao wa M ras na Ma das asimsahau Steve nyerere tafadhali ili tulio karibu naye tufurahi

lokole.PNG
 
View attachment 1824407
Steve anataka kujiuzulu cheo cha kukusanya rambirambi?
Si amejenga nyumba kwa kazi hiyo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom