Mtangazaji Lil Ommy wa Times FM awaaga wasikilizaji. Tetesi zadai anaelekea Wasafi FM

Mtangazaji Lil Ommy wa Times FM awaaga wasikilizaji. Tetesi zadai anaelekea Wasafi FM

Ruyama

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
367
Reaction score
563
Haijajulikana anaelekea media gani, lakini ameaga leo katika kipindi chake.

FF9C4B5B-53D7-4C1E-84C3-B4F064986C3B.jpeg

Tetesi zinadai anaelekea Wasafi FM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tetesi nasikia anaenda Wasafi,ila mimi napenda sana naye awe na studio yake mwenyewe kama alivyo Millard Ayo ,Sam Misago awe ana deal na maswala ya burudani.

Ila mwisho wa siku maamuzi ni yake ila naamini Lil Ommy brand yake ni kubwa anaweza kujitegemea mwenyewe.
 
Kwa Bongo wa watangazaji Wote wa Habari za burudani hakuna anaye mfikia Lil Ommy jamaa ana jua sana sema alikuwa yuko kwenye Radio iliyo kuwa haina wasikilizaji wengi .Kama anaenda Wasafi hakika wamepata Mtu sahihi sana.

Bila shaka ana enda kuchukua kipindi cha Saa nane hadi kumi jioni.kwa tafsiri hiyo asubuhi uki sikiliza magazeti na chumvi ukitoka hapo una ingia Sports Arena baada ya hapo Ge a then una kutana na Lil Ommy
.

Sent from my iPhone using JamiiForums.
 
Kwa Bongo wa watangazaji Wote wa Habari za burudani hakuna anaye mfikia Lil Ommy jamaa ana jua sana sema alikuwa yuko kwenye Radio iliyo kuwa haina wasikilizaji wengi .Kama anaenda Wasafi hakika wamepata Mtu sahihi sana .Bila shaka ana enda kuchukua kipindi cha Saa nane hadi kumi jioni.kwa tafsiri hiyo asubuhi uki sikiliza magazeti na chumvi ukitoka hapo una ingia Sports Arena baada ya hapo Ge a then una kutana na Lil Ommy
.

Sent from my iPhone using JamiiForums.
Lil ommy na ommy crazy ni watu wawili tofauti ?
 
Mpaka jamaa nilimsikia anatoa chozi live.
Kila la heri huko aendako!
 
Inaonekana bado alikuwa anaipenda times

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes Ilikuwa lazima atoe machozi kwani Times Radio watu wa kwanza kumpa platform akiwa hana fan base yoyote ile,hadi leo ana ondoka Times akiwa Mfalme.all and all huu mwezi mgumu sana kwa Times Fm kwani wame poteza watu watatu muhimu sana Dida Shaibu ,Idriss wa Kitaa na Lil Ommy na wote wame enda wasafi .

vipindi vyao ndio vipindi vilivyo kuwa Roho ya Times Fm jamaa wana ondoka na mashabiki wao.kwajinsi Lil Ommy alivyo mzuri kwenye interview wana takiwa kumpa kipindi kwenye Radio pia kwenye Tv.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa Bongo wa watangazaji Wote wa Habari za burudani hakuna anaye mfikia Lil Ommy jamaa ana jua sana sema alikuwa yuko kwenye Radio iliyo kuwa haina wasikilizaji wengi .Kama anaenda Wasafi hakika wamepata Mtu sahihi sana .Bila shaka ana enda kuchukua kipindi cha Saa nane hadi kumi jioni.kwa tafsiri hiyo asubuhi uki sikiliza magazeti na chumvi ukitoka hapo una ingia Sports Arena baada ya hapo Ge a then una kutana na Lil Ommy
.

Sent from my iPhone using JamiiForums.

Mpaka sasa Zambwela Bado haja tumika vizuri hivyo zembwela ana tafutiwa mtu au watu ili wafanye kipindi cha Saa kumi jioni hadi Saa kumi na mbili na dakika 59

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mpaka sasa Zambwela Bado haja tumika vizuri hivyo zembwela ana tafutiwa mtu au watu ili wafanye kipindi cha Saa kumi jioni hadi Saa kumi na mbili na dakika 59

Sent from my iPhone using JamiiForums
Zembwela pale katulizana... Japo muda mdogo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zembwela pale katulizana... Japo muda mdogo...

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo hiyo sababu ya muda mdogo ndio inayo mpeleka kwenye kipindi cha jioni ili afanye vipindi viwili.kwani kipindi cha Sasa cha magazeti ana sikika kwa nusu Saa tu Saa moja na nusu hadi mbili kamili.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom