Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Kazi nyingi sana,Mukulu.Mbona umepotea Sana hili jukwaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi nyingi sana,Mukulu.Mbona umepotea Sana hili jukwaa?
Jonijoo kama namuona anavyonuna.
Sam misago ana studio ganiTetesi nasikia anaenda Wasafi,ila mimi napenda sana naye awe na studio yake mwenyewe kama alivyo Millard Ayo ,Sam Misago awe ana deal na maswala ya burudani.
Ila mwisho wa siku maamuzi ni yake ila naamini Lil Ommy brand yake ni kubwa anaweza kujitegemea mwenyewe.
Hizo interview zote zimefanyikia kwenye studio yake.Sam misago ana studio gani
Jina la hiyo studio linaitwaje nifuatilie mwenyeweHizo interview zote zimefanyikia kwenye studio yake.
Hizo interview zote zimefanyikia kwenye studio yake.
Watu wanafanya biashara alafu wewe unawaza mambo ya kukuza kipaji unadhani hiyo ni Arsenal?Daah Wasafi bhana!!Ilitakiwa wawe wabunifu wasakanye watangazaji wapya uko Chimba unye ndichi ndichi machochoroni then wa'develop,Pia waanzishe vipindi vyao vipya,,,Wao walitamani msoma magazeti wa asubuhi kama Kitenge pale E-FM,wakaamua kumchukua,Wakatamani tena kipindi cha michezo kama Sports HQ wakawachukua hao kina Edo,Kitenge,Pia wakatamani kipindi kama cha Mashamsham cha Times FM chini ya Dida, wakaamua kuwachukua kabisa wote na huyo Idriss kitaa,,Lakini pia Kipindi kama The Playlist ndo wamemchukua The MVP,Half man half amazing,The king of Interview..Though akuna jipya duniani ila Creativity ni nzuri.
Sam Misago.Jina la hiyo studio linaitwaje nifuatilie mwenyewe
🤣🤣🤣🤣😃Watu wanafanya biashara alafu wewe unawaza mambo ya kukuza kipaji unadhani hiyo ni Arsenal?
Tetesi ila bado haijawa uhakika, inaweza kuwa anaanzisha empire yake inawezekana piaTetesi nasikia anaenda Wasafi,ila mimi napenda sana naye awe na studio yake mwenyewe kama alivyo Millard Ayo ,Sam Misago awe ana deal na maswala ya burudani.
Ila mwisho wa siku maamuzi ni yake ila naamini Lil Ommy brand yake ni kubwa anaweza kujitegemea mwenyewe.
Geha, Siz wa Kitaa ndio kina nani hao..?, anaitwa Dida Shaibu na Idris KitaaYes Ilikuwa lazima atoe machozi kwani Times Radio watu wa kwanza kumpa platform akiwa hana fan base yoyote ile,hadi leo ana ondoka Times akiwa Mfalme.all and all huu mwezi mgumu sana kwa Times Fm kwani wame poteza watu watatu muhimu sana Geha ,Siz wa Kitaa na Lil Ommy na wote wame enda wasafi .vipindi vyao ndio vipindi vilivyo kuwa Roho ya Times Fm jamaa wana ondoka na mashabiki wao.kwajinsi Lil Ommy alivyo mzuri kwenye interview wana takiwa kumpa kipindi kwenye Radio pia kwenye Tv.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mzee wa kusikiliza redio nilijua tu lazima uwepo kwenye Huu Uzi.Geha, Siz wa Kitaa ndio kina nani hao..?, anaitwa Dida Shaibu na Idris Kitaa
hahaha sawa bana, wengine huwa tuko lindoni redio muda woteMzee wa kusikiliza redio nilijua tu lazima uwepo kwenye Huu Uzi.
mpe sikio lako, utamuelewa tuHuyu jamaa nasikia anajua lakin sijawah kumuelewa, labda kwa kua simsikilizi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Uku chimbo kunae ma'presenter wa noma sana bas tu yaani hawaangaliwi,,sasa tukiona media zinawapa platform hao hao wakubwa sisi roho zinatuuma chaliangu.Watu wanafanya biashara alafu wewe unawaza mambo ya kukuza kipaji unadhani hiyo ni Arsenal?
Ndio ...mmoja dj mmoja sio dj
Kwa Bongo wa watangazaji Wote wa Habari za burudani hakuna anaye mfikia Lil Ommy jamaa ana jua sana sema alikuwa yuko kwenye Radio iliyo kuwa haina wasikilizaji wengi .Kama anaenda Wasafi hakika wamepata Mtu sahihi sana .Bila shaka ana enda kuchukua kipindi cha Saa nane hadi kumi jioni.kwa tafsiri hiyo asubuhi uki sikiliza magazeti na chumvi ukitoka hapo una ingia Sports Arena baada ya hapo Ge a then una kutana na Lil Ommy
.
Sent from my iPhone using JamiiForums.