AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Kwahiyo ana kipindi na jioni... Muda gani tafadhali...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hiyo sababu ya muda mdogo ndio inayo mpeleka kwenye kipindi cha jioni ili afanye vipindi viwili.kwani kipindi cha Sasa cha magazeti ana sikika kwa nusu Saa tu Saa moja na nusu hadi mbili kamili.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app