Lil ommy na ommy crazy ni watu wawili tofauti ?Kwa Bongo wa watangazaji Wote wa Habari za burudani hakuna anaye mfikia Lil Ommy jamaa ana jua sana sema alikuwa yuko kwenye Radio iliyo kuwa haina wasikilizaji wengi .Kama anaenda Wasafi hakika wamepata Mtu sahihi sana .Bila shaka ana enda kuchukua kipindi cha Saa nane hadi kumi jioni.kwa tafsiri hiyo asubuhi uki sikiliza magazeti na chumvi ukitoka hapo una ingia Sports Arena baada ya hapo Ge a then una kutana na Lil Ommy
.
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Ndio ...mmoja dj mmoja sio djLil ommy na ommy crazy ni watu wawili tofauti ?
Inaonekana bado alikuwa anaipenda timesMpaka jamaa nilimsikia anatoa chozi live.
Kila la heri huko aendako!
Kwa Bongo wa watangazaji Wote wa Habari za burudani hakuna anaye mfikia Lil Ommy jamaa ana jua sana sema alikuwa yuko kwenye Radio iliyo kuwa haina wasikilizaji wengi .Kama anaenda Wasafi hakika wamepata Mtu sahihi sana .Bila shaka ana enda kuchukua kipindi cha Saa nane hadi kumi jioni.kwa tafsiri hiyo asubuhi uki sikiliza magazeti na chumvi ukitoka hapo una ingia Sports Arena baada ya hapo Ge a then una kutana na Lil Ommy
.
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Zembwela pale katulizana... Japo muda mdogo...Mpaka sasa Zambwela Bado haja tumika vizuri hivyo zembwela ana tafutiwa mtu au watu ili wafanye kipindi cha Saa kumi jioni hadi Saa kumi na mbili na dakika 59
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jonijoo kama namuona anavyonuna.Haijajulikana anaelekea media gani, lakini ameaga leo katika kipindi chake.
View attachment 1358087
Tetesi zinadai anaelekea Wasafi FM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umepotea Sana hili jukwaa?Jonijoo kama namuona anavyonuna.