Mtangazaji Lil Ommy wa Times FM awaaga wasikilizaji. Tetesi zadai anaelekea Wasafi FM

Lil ommy ndiye kiongozi wao wakina jonijoo, Aliyah, Calipso, Highness derick(mpiga picha) na wengine wengi waliopo sasa Wasafi media. Alichofanya yy n kuwatanguliza alaf yy anakuja nyuma....kuna interview moja alihojiwa alikiri kwamba yy ana mchango jonijo na wenzie kuwa hapo...pia ukifuatlia Aliyah umuita Lil ommy "father"
 
Sam misago ana studio gani
 
Daah Wasafi bhana!!Ilitakiwa wawe wabunifu wasakanye watangazaji wapya uko Chimba unye ndichi ndichi machochoroni then wa'develop,Pia waanzishe vipindi vyao vipya,,,Wao walitamani msoma magazeti wa asubuhi kama Kitenge pale E-FM,wakaamua kumchukua,Wakatamani tena kipindi cha michezo kama Sports HQ wakawachukua hao kina Edo,Kitenge,Pia wakatamani kipindi kama cha Mashamsham cha Times FM chini ya Dida, wakaamua kuwachukua kabisa wote na huyo Idriss kitaa,,Lakini pia Kipindi kama The Playlist ndo wamemchukua The MVP,Half man half amazing,The king of Interview..Though akuna jipya duniani ila Creativity ni nzuri.
 
Watu wanafanya biashara alafu wewe unawaza mambo ya kukuza kipaji unadhani hiyo ni Arsenal?
 
Tetesi ila bado haijawa uhakika, inaweza kuwa anaanzisha empire yake inawezekana pia
 
Geha, Siz wa Kitaa ndio kina nani hao..?, anaitwa Dida Shaibu na Idris Kitaa
 
U
Watu wanafanya biashara alafu wewe unawaza mambo ya kukuza kipaji unadhani hiyo ni Arsenal?
Uku chimbo kunae ma'presenter wa noma sana bas tu yaani hawaangaliwi,,sasa tukiona media zinawapa platform hao hao wakubwa sisi roho zinatuuma chaliangu.
 
wasafi ni hatari sana kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…