AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Hiyo hiyo sababu ya muda mdogo ndio inayo mpeleka kwenye kipindi cha jioni ili afanye vipindi viwili.kwani kipindi cha Sasa cha magazeti ana sikika kwa nusu Saa tu Saa moja na nusu hadi mbili kamili.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapo urafiki umehusika siunajua Dida na Diamond ni marafiki wa muda mrefu.Hapo kwenye Dida na Idris kitaa... Wamezingua mno...
Bora wangemuiba hata GEAH HABIIB
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu sio lazima atangaze,anaweza pia kufanya production na mambo mengine mengi tuHiyo hiyo sababu ya muda mdogo ndio inayo mpeleka kwenye kipindi cha jioni ili afanye vipindi viwili.kwani kipindi cha Sasa cha magazeti ana sikika kwa nusu Saa tu Saa moja na nusu hadi mbili kamili.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapo urafiki umehusika siunajua Dida na Diamond ni marafiki wa muda mrefu.