Mtangazaji Masoud Masoud wa TBC

ok sawa, ila barua aliiandika Bosi wake marehemu Ngayhoma ( rip)
 
Mhh! Nnamiaka cjawah kutazama TBC wala kusikiliza
 
Ila sisi wa kizazi kipya kuna jamaa anaitwa saleh jabir aka kibonge tozi ni noma aisee
 
Yuko vizuri sana kwenye taaluma yake ya utangazaji....namkubali sana.
 
Na yule Mohammed kipozi sijui yupo wap siku hizi
 
Kipindi chake TBC ni lini na muda gani!? Nilishawahi kumsikia jumapili saa tatu usiku wakati Fulani kitambo.
 
Masoud hata sauti yake ni murua kuisikiliza, kwa hakika ni mtangazaji mahiri na anafuata aina ya maisha ya wazee wa zamani kama alivyo, huwezi kumuona anahamahama vituo vya radio.
 

Attachments

Ni mchambuzi wa muziki mbobezi...ila kuna yule Zomboko wa Redio one ndiye anajiita Raisi wa Wachambuzi wa muziki Tanzania.....sijui Masoud ana maoni gani kwa hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…