tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
ok sawa, ila barua aliiandika Bosi wake marehemu Ngayhoma ( rip)Hapendi kuingiliwa kwenye taaluma awapo kazini, alesema kilicho muondoa IPP enzi hizo ni kuletewa habari aitangaze wakati tayari alikuwa amekwisha anza kurusha habari radioni na hiyo habari ilikuwa haija hakikiwa ila kwa kuwa ililetwa na bosi enzi hizo marehemu MUTIE aka kataa kuisoma na bosi akamwambia aandike barua ya kujieleza akampa maelezo ya mdomo bosi aka mind maosud akaamua kuacha kazi. Nadhani hiki ndio kimemfanya abakie TBC kuongozwa kimzuka na mabosi wasio na taaluma ni shida.