Mtangazaji Masoud Masoud wa TBC

Mtangazaji Masoud Masoud wa TBC

Hapendi kuingiliwa kwenye taaluma awapo kazini, alesema kilicho muondoa IPP enzi hizo ni kuletewa habari aitangaze wakati tayari alikuwa amekwisha anza kurusha habari radioni na hiyo habari ilikuwa haija hakikiwa ila kwa kuwa ililetwa na bosi enzi hizo marehemu MUTIE aka kataa kuisoma na bosi akamwambia aandike barua ya kujieleza akampa maelezo ya mdomo bosi aka mind maosud akaamua kuacha kazi. Nadhani hiki ndio kimemfanya abakie TBC kuongozwa kimzuka na mabosi wasio na taaluma ni shida.
ok sawa, ila barua aliiandika Bosi wake marehemu Ngayhoma ( rip)
 
Mhh! Nnamiaka cjawah kutazama TBC wala kusikiliza
 
Ila sisi wa kizazi kipya kuna jamaa anaitwa saleh jabir aka kibonge tozi ni noma aisee
 
Yuko vizuri sana kwenye taaluma yake ya utangazaji....namkubali sana.
 
Kipindi chake TBC ni lini na muda gani!? Nilishawahi kumsikia jumapili saa tatu usiku wakati Fulani kitambo.
 
Masoud hata sauti yake ni murua kuisikiliza, kwa hakika ni mtangazaji mahiri na anafuata aina ya maisha ya wazee wa zamani kama alivyo, huwezi kumuona anahamahama vituo vya radio.
 

Attachments

Ni mchambuzi wa muziki mbobezi...ila kuna yule Zomboko wa Redio one ndiye anajiita Raisi wa Wachambuzi wa muziki Tanzania.....sijui Masoud ana maoni gani kwa hilo?
 
Masoud Masoud.JPG
 

Attachments

  • Masoud Masoud.JPG
    Masoud Masoud.JPG
    151.5 KB · Views: 103
Back
Top Bottom