Kuna kipindi alikuwa mkurugezi wa Radio Uhuru.Huyu Mzee anajua sana. Anaonesha ukongwe wake katika utangazaji. Kuna mwingine mtangazaji wa zamani alikuwa anaitwa Mikidadi Mahmoud sijui yupo wapi siku hizi.!
Acha Urongo huyu Alikuwepo Radio One na Sasa yupo TBC nini unazungumza wewe au ndio zile zilizoimbwa sifa za kijingaMasoud hata sauti yake ni murua kuisikiliza, kwa hakika ni mtangazaji mahiri na anafuata aina ya maisha ya wazee wa zamani kama alivyo, huwezi kumuona anahamahama vituo vya radio.
Okay kumbe. Nao wakashindwa kumtumia.!Kuna kipindi alikuwa mkurugezi wa Radio Uhuru.
Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC.
Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji vipindi na uandishi habari kwa ujumla.
Masoud anaelewa ni nini anachofanya na kwa muktadha muafaka.
Ukifuatia simulizi zake kimuziki sio tu zina mizania ya kimantiki bali pia zina mtiririko kama movie fulani hivi inayokushawishi kuendelea kuitazama uone mwisho wake.
Hongera Manju,
MASOUD MASOUD !
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Pole mkuu, inaonesha umezoea kupokea taarifa mbaya!
Teh teh mbazu zangu weee kuunma walahiHuyu nae anatupandisha presha ya bure,nilidhani MM amemfuata Kinyambe!
Shika adabu yako.
Ndo nani hiyu? weka picha.Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC.
Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji vipindi na uandishi habari kwa ujumla.
Masoud anaelewa ni nini anachofanya na kwa muktadha muafaka.
Ukifuatia simulizi zake kimuziki sio tu zina mizania ya kimantiki bali pia zina mtiririko kama movie fulani hivi inayokushawishi kuendelea kuitazama uone mwisho wake.
Hongera Manju,
MASOUD MASOUD !
Halafu wanashindwa kutenganisha kazi na maisha binafsiAma hakika hili ni gulu la habari za mziki na wanamziki.
Anaujua mziki hasa wa enzi zile sio hawa vijana wa kileo na kelele kelele za bangi.
Kutangaza hawajui ujuaji mwingi, matusi na maisha yao yamegubikwa makandokando mengi.
Cc Adam Mchomvu&B12
Ama hakika hili ni gulu la habari za mziki na wanamziki.
Anaujua mziki hasa wa enzi zile sio hawa vijana wa kileo na kelele kelele za bangi.
Kutangaza hawajui ujuaji mwingi, matusi na maisha yao yamegubikwa makandokando mengi.
Cc Adam Mchomvu&B12
ukimsikiliza kwenye kipindi cha music wa rock,pop, etc utapenda
aisee sikumaanisha huyu baba , anisamehe bure!!
Ni mchambuzi wa muziki mbobezi...ila kuna yule Zomboko wa Redio one ndiye anajiita Raisi wa Wachambuzi wa muziki Tanzania.....sijui Masoud ana maoni gani kwa hilo?
Hivi ni kweli kwamba ndo baba wa Ibrahimu Masoud Maestro ambaye ni mchambuzi wa habari za michezo E FM?Huyu mzee adcted na pombe
kali hasa Ile sprit Ya Russia,,, na hivi ana muonekano wa kisomali yupo kama kagame