Mtangazaji Masoud Masoud wa TBC




Jamaa ni manju wa muziki lakini aliniacha hoi pale alipochemsha simulizi za marehemu Papa Wemba. Yaani sijuwi alidanganywa na nani maana alikosea wasifu wa Papa Wemba vibaya sana. Mwingine ambaye alikuwa mtaalam wa muziki ni marehemu Maestro Freddy Mosha. Jamaa alikuwa noma sana, Mungu ailaze roho yake peponi.
 
Bongo tunahitaji watangazaji kama Masoud kwani vijana wa leo ni mbumbumbu tu dizaini ya Gardner.
 
Acha Urongo huyu Alikuwepo Radio One na Sasa yupo TBC nini unazungumza wewe au ndio zile zilizoimbwa sifa za kijinga
sasa sifa za kijinga zinatoka wapi hapo kiongozi, kama nimeoverlook si unarekebisha kisha unaendelea na mengine.
 
Hata akiongea Kiingereza ni very smart. Grammar and accent super

Alikua katika mazingira ya kuongea kiingereza tu. Toka azaliwe na kuanza kuongea, lugha ya kwanza kuongea ni kiingereza na kiswahili alianza kujifunza akiwa na miaka 16 mpaka 20 hivi. Kuna mahojiano fulani nilimsikiliza vizuri sana
 
Zomboko mtu wa kujikomba sana..afu yeye anajua mziki wa bendi za Daresalama tu na ubabaishaji mwingiii

Zomboko ni zahapa bongo na kuchomeka mambo ya Simba na Yanga kwakua amewahi kuwa mchezaji mzuri tu. Nae ana utamu wake kama unapenda soka ila kuhusu muziki Masuod still the Best Ever
 
Alikua katika mazingira ya kuongea kiingereza tu. Toka azaliwe na kuanza kuongea, lugha ya kwanza kuongea ni kiingereza na kiswahili alianza kujifunza akiwa na miaka 16 mpaka 20 hivi. Kuna mahojiano fulani nilimsikiliza vizuri sana
I see!!!!
 
vyombo vya hbr vya ccm tbc + uhuru fm&magazine huwa sivipi muda kamwe,........kutwa nyimbo za vijembe kwa wananchi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85] [emoji85] nimecheka saaaaana asante Maan mseto wa Malaria unanizingua
 
Nakumbuka alipofariki Michael Jackson kulikuwa na misaa maalum ya kumuaga ilikuwa inarushwa live na tbc...jinsi ambavyo Masoud alikuwa akisimulia na kuwatambua watu mbali mbali ilifurahisha sana kweli anaujua muziki na wanamuziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…