Mtangazaji Maulid Kitenge anahoji Kamati ya Saa 72 kushindwa kuihukumu Coastal Union, ila ya Yanga SC na jezi yake nyeusi hashangai

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Anataka (tena kwa Kushadadia kabisa) Timu ya Coastal Union FC ya Tanga ihukumiwe na Kamati ya Saa 72 kwa Wachezaji wake kumfanyia Vurugu Mwamuzi (Refa) wa Juzi ila haishangai Kamati hiyo hiyo hadi leo hii Kushindwa Kukaa na Kuihukumu Yanga SC yake (anayoishabikia) kwa Kukiuka Kipengele cha Kanuni ya Ligi Kuu kwa Kuvalia Jezi yao Nyeusi katika kila Mechi tofauti na ambavyo Utaratibu unataka.

Tukimuita Zero Brain tunakuwa sawa.
 
Anataka ( tena kwa Kushadadia kabisa ) Timu ya Coastal Union FC ya Tanga ihukumiwe na Kamati ya Saa 72 kwa Wachezaji wake kumfanyia Vurugu Mwamuzi ( Refa ) wa Juzi ila haishangai Kamati hiyo hiyo hadi leo hii Kushindwa Kukaa na Kuihukumu Yanga SC yake ( anayoishabikia ) kwa Kukiuka Kipengele cha Kanuni ya Ligi Kuu kwa Kuvalia Jezi yao Nyeusi katika kila Mechi tofauti na ambavyo Utaratibu unataka.

Tukimuita Zero Brain tunakuwa sawa.
Kitenge ana wenge hajaenda zile safari zake siku nyingi
 
Kabla ya kuitupia lawama Yanga kuvaa jezi nyeusi mfululizo mnafahamu uwa Kuna pre metch meeting inayo husisha maofisa wa Tff, Marefa na Viongozi wa timu zinazo shiriki mchezo husika, mnajua maana ya Kikao icho kabla ya mchezo ajenda zinahusu Nini?
Kama hamjui basi mtambue Yanga hanakosa lolote juu ya jambo ilo, ayo ni makubaliano ya Kikao husika kabla ya mechi Kikao ambacho viongozi wa Tff wanakuwepo.
Tafuteni hoja zenye msingi msiingize siasa kwenye mpira.
 
Na hilo, ndiyo maana TFF imezikumbusha timu zote kufuata utaratibu wa uvaaji wa hizo jezi, kwani timu nyingi, kama sio zote, zilikuwa hazifuati huo utaratibu!
 
Kwani utaratibu ukoje kikanuni, tuelimishane kwa anaejua?
 
Anataka (tena kwa Kushadadia kabisa) Timu ya Coastal Union FC ya Tanga ihukumiwe na Kamati ya Saa 72 kwa Wachezaji wake kumfanyia Vurugu Mwamuzi (Refa) wa Juzi ila haishangai Kamati hiyo hiyo hadi leo hii Kushindwa Kukaa na Kuihukumu Yanga SC yake (anayoishabikia) kwa Kukiuka Kipengele cha Kanuni ya Ligi Kuu kwa Kuvalia Jezi yao Nyeusi katika kila Mechi tofauti na ambavyo Utaratibu unataka.

Tukimuita Zero Brain tunakuwa sawa.
Tafuta hoja nyingine kwani pre match meeting unajua maana yake? Kinawahusisha watu gani? Je unajua wanachokuwa wamekubaliana? Nijibu kwanza ndio tuendelee
 
Hapa genta nakukataa hili jambo umelileta kama kiubinafsi flani kitenge atawatesa sana hamjui tu
 
Kabla ya kuitupia lawama Yanga kuvaa jezi nyeusi mfululizo mnafahamu uwa Kuna pre metch meeting inayo husisha maofisa wa Tff, Marefa na Viongozi wa timu zinazo shiriki mchezo husika, mnajua maana ya Kikao icho kabla ya mchezo ajenda zinahusu Nini?
Kama hamjui basi mtambue Yanga hanakosa lolote juu ya jambo ilo, ayo ni makubaliano ya Kikao husika kabla ya mechi Kikao ambacho viongozi wa Tff wanakuwepo.
Tafuteni hoja zenye msingi msiingize siasa kwenye mpira.

Baeleze baelewe
 
Nilikuwa najua watu wengi wa jf wana jua vitu vingi kumbe ni mamburula tu hawajui hata taratibu za mechi kuwa kuna pre match meeting
Makolo wengi hawajui mambo ya mpira na ndio maana genta anawapeleka atakavyo maana anawajua wafuasi wake heads empty (mbu3) in mzee rage voice
 
Back
Top Bottom