TANZIA Mtangazaji Mukhsin Mambo alias MC Hammer afariki dunia nyumbani kwake Marekani

TANZIA Mtangazaji Mukhsin Mambo alias MC Hammer afariki dunia nyumbani kwake Marekani

Mungu ampe pumziko la milele, Nakumbuka ilikua 2017 nikiwa Arusha nikapata simu yake, akaniita 'haraka' DSM..akiwa TV1..Nikafanya msimu wa pili wa kipindi cha Boys Boys na Daniel Kijo.

He was a cool brother (Sikuwahi kumfahamu wala kukutana naye kabla), alionesha kunifahamu na kunifuatilia hata kwenye mitandao.. Mungu amrehemu Muhsin Mambo..!
 
Mungu ampe pumziko la milele, Nakumbuka ilikua 2016 nikiwa Arusha nikapata simu yake, akaniita 'haraka' DSM..akiwa TV1..Nikafanya msimu wa pili wa kipindi cha Boys Boys na Daniel Kijo..He was a cool brother (Sikuwahi kumfahamu wala kukutana naye kabla)..alionesha kunifahamu na kunifuatilia hata kwenye mitandao.. Mungu amrehemu Muhsin Mambo..!
Ni kweli..bro hakuwa na majivuno ..tofauti na ukubwa wa jina lake....nafurahi kuwa mmoja wa wanafunzi wake
 
Tareh kama hii mwaka 2021 ulitutoka bro

View attachment 2113271
Kumbe alitokea radio free... Mimi nilikuwa ntandao wa radio free enzi hizo wakati inatisha na mavipindi ya maana kama mambo mambo, je, huu ni uungwana, sitosahau, love story, the weekend show, na kile kipindi cha glory robinson na kidbway, kuna kipindi cha sky walker jina nimesahau, yani ilikuwa hatari
 
Huyu mama alishawaondoa vijana kadhaa wa pale Makumbusho kwa kuwaunganisha na grid ya taifa
Ina maana wao wakiupata hawajitibu? Ila yeye tu ndio anameza dawa na kuendelea kuusambaza??
 
Duh kumbe huyu mwamba ni mwendazake. Mbona sijaona huko alienda kufanya nini?
 
Back
Top Bottom