TANZIA Mtangazaji Mukhsin Mambo alias MC Hammer afariki dunia nyumbani kwake Marekani

Last week nilimuona PJ maeneo karibu na KAMANGA amedhoof na anatembea kwa kujificha ficha...... muda mwingi ametazama Chini. nini shida Jamani kwa Watangazaji wetu?
PJ ni mwembamba tangu anasoma Lake Secondary
 
Mungu amuweke mahali pema peponi ila huyu bwana nadhani alikuwa akiitwa mc stopper na sio hammer naomba ujilidhishe tena maana namfahamu kiasi flani hata kabla hajawa mtangazaji
 
Hivi Maryam Mambo ndo Dada yake? Kwa wanao mjua vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…