Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamsaliti naniHii dunia kweli inahitaji kabsaaa malaika wa kushuka na kuiombea yani msaliti leo hii anapigiwa vigelegele?
JamaniHizo sura au mapopoma
nakubaliana na were mkuu [emoji106] [emoji106]Mkuu Mimi nilibahatika kusoma journalism na law! Unaweza kwenda evening classes ukatimiza ndoto zako!
Walitemwa clouds wakajoin efmredio mpya inabidi zije na watangazaji wapya sio kwa kuchukua wale wa redio zenye mashabiki wengi na kutembea kwenye nyota ile ile ya wenzao mfano efm hawakuwa na haja ya kumchukua pj kusoma yale yale magazeti aliyokuwa anasoma clouds then unaita creativity hiyo cio creativity bali ni copy and paste
Nani anaiga? Pb=joto la asubuhi,uhondo=Leo tena,jahazi=ubaoni,,tena adi watangazaji walichukua.efm wapo bize kupambana na clouds(wana majungu na vijembe vya taarab)Kuna kibwagizo cha efm wanasema Iga tena na hii naona ni dongo upande wa pili
Unataka useme vipindi vyenye maudhui ya asubuhi aliye anzisha ni Clouds!!?Nani anaiga? Pb=joto la asubuhi,uhondo=Leo tena,jahazi=ubaoni
Hawakujua jinsi gani ya kuvifanya viwe bora bila msaada wa mawingu FM ndo maana walienda kwa hando.PJ.dina na gardnerUnataka useme vipindi vyenye maudhui ya asubuhi aliye anzisha ni Clouds!!?
Maana yake vile vipo kila redio
Unataka useme vipindi kama elo tena wameanzisha Clouds , mbond vipo hadi TBC fm!!?
Unataka useme vipindi vya maudhui ya jioni kama Jahazi, vimeanzisha na Cloudz!!
Mbona had tbc taifa vipo!!?
Ni wazi Efm hawakuwaiga Clouds ila waliangalia muda wa vipindi na maudhui yake , kwenye kila redio vipo.
Dina -alikuwa hana kaziHawakujua jinsi gani ya kuvifanya viwe bora bila msaada wa mawingu FM ndo maana walienda kwa hando.PJ.dina na gardner
Naona unaconclude..dina ndo mama wa Leo tena.Gardner mwanzilishi wa jahazi,hando na PJ ni alama ya pbDina -alikuwa hana kazi
Gadner-alikuwa times fm
Pj- kakaa miez hata mi 4 haija fka
At least Gerald Hando sawa ndio anaendelea
Claims zako asilimia kubwa si kweli
Mama wa leo tena ni Amina Chifupa mkuu, dina alikuja baadaye, halafu yule wakat Efm wana muajiri hakuwa mfanyakaz wa Clouds media.Naona unaconclude..dina ndo mama wa Leo tena.Gardner mwanzilishi wa jahazi,hando na PJ ni alama ya pb
Kulikua na kipindi KAHAWA AU CHAI.enzi hizo. Haya ni maudhui tu. Hao wanatafutwa tafutw ni kukosa ubunifu au kutafuta kukaa mawazoni mwa waskilizaji mapemaHawakujua jinsi gani ya kuvifanya viwe bora bila msaada wa mawingu FM ndo maana walienda kwa hando.PJ.dina na gardner
Uyu jamaa anadhani kila kitu kilianzia Cloudz etiKulikua na kipindi KAHAWA AU CHAI.enzi hizo. Haya ni maudhui tu. Hao wanatafutwa tafutw ni kukosa ubunifu au kutafuta kukaa mawazoni mwa waskilizaji mapema