FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Division of labour...sio lazima Ronaldo, Messi, Thiery Henry au Pele waanzishe timu zao ndio tutukuze mchango wao kwenye tasnia ya Soka.Dah... wangekuwa na akili ya kujitambua wangeanzisha radio yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Division of labour...sio lazima Ronaldo, Messi, Thiery Henry au Pele waanzishe timu zao ndio tutukuze mchango wao kwenye tasnia ya Soka.Dah... wangekuwa na akili ya kujitambua wangeanzisha radio yao
Ni dhambi kumlinganisha KP na yule dogo...KP yupo njema ingawa kwangu Hando yupo njema zaidi ya KP.kama wamerudi itakuwa poa mile kipindi kilipwaya sana Masood hana uelewa mpana Sizya mleta magazenga anamfunika
Kwa kweli hata mi kanikera mnooo kwenye hilo niwe muwaziPJ kaniudhi sana
Hata Mimi badoBado huamini kuwa PJ karudi Clouds?
Kwani waligombana?Wakati huyu PJ kahamia E fm , nilikuwa namkuta maeneo ya nyuma ya clouds anakunywa pombe pale mchana huku akiwa kazungukwa na majamaa kibao wa clouds. Nikawa najiuliza huku ndio kuhama gani? Kwenda kuka E fm na kuja kushinda ckouds
Tusimalize kusema yote. Hatufahamu nyuma ya pazia...... Japo kweli PJ sauti yake ina mvuto... Sio tu kwenye magazeti hata kwenye kipindi cha michezo zamani alivyokua akitangaza..... Tushaambiwa huo mchezo hauitaji hasira.Huyu jamaa anakipi kipya zaidi ya kusoma magazeti?
Tatizo hawajasamba Tanzania nzimaKama uongozi wa Clouds unaendeshwa sijui kwa kujuana au kifamilia bila ujuzi na hata kuweka vichwa vingine wawaletee mazuri, wataendelea kutapa tapa tu na kutumia wa enzi. Naona EFM inaelekea kupata wasikilizaji wengi zaidi
Pointredio mpya inabidi zije na watangazaji wapya sio kwa kuchukua wale wa redio zenye mashabiki wengi na kutembea kwenye nyota ile ile ya wenzao mfano efm hawakuwa na haja ya kumchukua pj kusoma yale yale magazeti aliyokuwa anasoma clouds then unaita creativity hiyo cio creativity bali ni copy and paste
Iyo leo tena naonaga wanapiga story zao tu....i love power breakfastClouds
Leo Tena
XXL
Jahazi
Makele matupu tangu mwanzo mpaka mwisho,hakuna content yoyote