Mtangazaji Paul James 'PJ' arejea Clouds FM

Mtangazaji Paul James 'PJ' arejea Clouds FM

Wamebaki Dina Marios na Maestro
 
Mtangazaji ambaye Clouds waliwapiga bao EFM ni Kicheko
 
Wamebaki Dina Marios na Maestro
...utasubir sana Dinna Marios namuania sana anajielewa sana huyo bint hawez kufanya ujinga huo..hadanganyik kwa vicent...Pj kajidharaulisha kama "bwana yule"
 
sisi watu ambao taaluma/shughulli zetu ni 100% practical oriented, huwezi kukuta watu makanjanja na wababaidhaji kama wanaopatikana ktk sector ya utangazaji wa redio/tv.I'm very proud of my profession.
 
Hivi mnajielewa kweli? Unaanzaje kumlinganisha Kipanya na Hando? Pengine wengi humu mnaandika bila uelewa wa kutosha. Kipanya ni kichwa na mwenye uelewa mpana wa vitu vingi. Kipanya ameanza kuchora na kutikisa anga za siasa enzi za Mwinyi kitu kinachompa advantage ya kujua mambo mengi. Kurejea kwa PJ kunarudisha ladha ya kuperuzi na kudadisi. Kipanya, PJ, Siza na Babra wanatosha. Fredwa atuamshe alfajiri tu.
 
Hakuna kazi ninayoipenda duniani kama uandishi wa habari na utangazaji... Bahati mbaya sana nilisoma degree ya mambo mengine...
 
Niliipenda sana pb kipindi kile yupo maosud kipanya, fina mango na Gerald hando, ilikuwa sikosi kusikiliza wale watu walikuwa na chemistry ya hatari ila masoud na fina walipoondoka tu na mimi nikaacha kusikiliza, na toka aliporudi masoud nimeanza tena kusikiliza pb ingawa ile ladha ya mwanzo bado haipo, i think wangeweza kumrudisha gerald akakaa na masoud kipind kingenoga mmmmno
Kipindi hicho gerald hando alikuwa anasoma magazeti ss atakubali kurud awe msima magazeti ??? Na PJ na Philp watafanya nn ss??
 
PJ hua ndiye anayenifanya nisikilize power breakfast! Segment ya magazeti aisee! Sasa siikosi tena!!
 
Tatizo hizo radio zingine huku mikoani hazishiki, huku tunashika clouds na tbc, radio free kwa mbaaaali, kukiwa na mawingu inapotea. Kwahiyo radio inayogonga ngoma za vijana kwa wingi ndo hiyo clouds, thats y unakuta fiesta tunajazana ruuuundo. Wametoa promo kwenye radio yao na wote tukasikia.
 
...utasubir sana Dinna Marios namuania sana anajielewa sana huyo bint hawez kufanya ujinga huo..hadanganyik kwa vicent...Pj kajidharaulisha kama "bwana yule"

Money makes world go round,Pesa haina baunsa
Tatizo ni kwamba Dina aliondolewa baada ya kugombana na Zamaradi
 
Hivi mnajielewa kweli? Unaanzaje kumlinganisha Kipanya na Hando? Pengine wengi humu mnaandika bila uelewa wa kutosha. Kipanya ni kichwa na mwenye uelewa mpana wa vitu vingi. Kipanya ameanza kuchora na kutikisa anga za siasa enzi za Mwinyi kitu kinachompa advantage ya kujua mambo mengi. Kurejea kwa PJ kunarudisha ladha ya kuperuzi na kudadisi. Kipanya, PJ, Siza na Babra wanatosha. Fredwa atuamshe alfajiri tu.
Kama wali balance kwanini wamemrudisha PJ? Unatetea tu lkn ukweli upo wazi
 
Back
Top Bottom