Mtangazaji Sam Mahela acha kutingisha kichwa unapomaliza kutangaza

aseeee nakufa kucheka huku[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
George maratuuuu itviiiiiiiii roryaaaaaaa
Nasikia uyu jamaa mzee Mengi mwenyewe alimwambia george maratu kua aache kusema mimi ni george maratuu itviiiiii tarimeeee
Maratu akasema bora aache kazi lakini sio aache kusema mimi ni george maratuuuuuu itvvvvvvv MARAAAA

Mzee Mengi kuona hana ujanja ivo akaamua kumuongezea George Maratuuui itviiii wilaya nyingine....

Nikiripoti kutoka...Mimi ni George maratuuu itviiii Bundaaaaaa...
George Maratu itviiiiiiiii butiamaaaaaaa.
Mpaka kuna mm ni george maratu itviiii serengetiiiiiiiiiii
 
Mbona imekaa powa tu.. ni swagger flani tu. . Sioni kitu binadamu anaweza kufanya halaf kikamridhisha kila mtu. Whatever u do people will make a comment.
 
Sion kitu ambacho binadamu anaweza kufanya halaf kikamridhisha kila mtu. Whatever u do people will make a comment.
 
Binafsi sam, ufoo saro, na George huwa wananifurahisha sana hua naenjoy kutizama hasa pale wanaposemaga... Nikiriport kutoka..... Mimi ni ufoo saro itviiiiiiiiiiiii
 
Binafsi sam, ufoo salo, na George huwa wananifurahisha sana hua naenjoy kutizama hasa pale wanaposemaga... Nikiriport kutoka..... Mimi ni ufoo salo itviiiiiiiiiiiii
George Maratu ndo baba lao.
Hata mtoto wa miaka 3 anajua umuhimu wa george maratuuu itviiiii bundaaaaaaa
 
Mimi napenda sana anavyotikisa Kichwa, naweza hata nisisikilize habar nkasubr hicho kichwa tu . . . hiyo ni trade mark yake.

Acheni vijana wetu wafanye mambo, big up Sam
...aah,taratibu mtumishi
..yani usisikilize habari usubiri 'hicho kichwa tu';
.tengua kauli!
 
Mkuu anza kusikiliza redio maana unakoelekea utasema kichwa chake kimebonyea.
 
Mimi napenda sana anavyotikisa Kichwa, naweza hata nisisikilize habar nkasubr hicho kichwa tu . . . hiyo ni trade mark yake.

Acheni vijana wetu wafanye mambo, big up Sam
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] nimecheka sana Mkuu eti husikilizi habari unasubiri kichwa tu
 
Ananikera anapodanyaga kipinda cha dakika 45 huwa hachan nywele halafu bahati mbaya ana kipili pili.!
 
Jamaa anaiga wazungu kutikisa vichwa wkt wa kusogeza nywele. Naona hata wadada wengi wa kiafrika hufanya upuuzi huu. Hiyo ndo laana ya mwafrika, wkt wote kutaka afanane na mzungu
Umeua.
 
Mimi napenda sana anavyotikisa Kichwa, naweza hata nisisikilize habar nkasubr hicho kichwa tu . . . hiyo ni trade mark yake.

Acheni vijana wetu wafanye mambo, big up Sam
[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…