Mtangazaji Sam Mahela acha kutingisha kichwa unapomaliza kutangaza

Hacha ujinga yule ni mwanaume mwenzio unataka style ya kaz gan ........omba gemu uone kama atatingisha kichwa
 
Hakuna professionalism hapo.
 
Mimi napenda sana anavyotikisa Kichwa, naweza hata nisisikilize habar nkasubr hicho kichwa tu . . . hiyo ni trade mark yake.

Acheni vijana wetu wafanye mambo, big up Sam
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]
 
Afadhali umeamua kufunguka huyu jamaa anatafuta sifa za kijinga sana
 
Bora ya Georg maratu kuliko huyu wa bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…