Mtangazaji Sam Mahela acha kutingisha kichwa unapomaliza kutangaza

Mtangazaji Sam Mahela acha kutingisha kichwa unapomaliza kutangaza

Kila mtu anambwembwe zake hiyo inaonyesha kuwa jinsi gani jamaa anavyoipenda kazi yake
 
Mimi napenda sana anavyotikisa Kichwa, naweza hata nisisikilize habar nkasubr hicho kichwa tu . . . hiyo ni trade mark yake.

Acheni vijana wetu wafanye mambo, big up Sam
Hata mi.mtikisiko wa kichwa naona ndo.habari.ya.itv
 
Usishangae Mkuu always wasukuma ni malimbukeni haswaa,yule mwenzie aliyekabidhiwa nchi sasa hivi kila wakati akiongea anashika kitambi
 
aisee binadamu tupo tofauti kumbe,, mimi ile swaga hua naikubali kichiz. yani hua naangalia itv huku nasubiri tu kumuona aki report tokea mtaani. mpaka niliwaza kama asingekua na kilema cha L na R na H na A basi angeenda hata BBC ama DW
 
Hata mimi naipenda sana sana hiyo staili ya Sam. Kamwe usibadili staili yako Mahela. You r unique bro.
 
Habari zenu!
Kwa kweli unaboa, naona watangazaji wa itv kila mmoja anakuja na 'symbol' yake!
Sam Mahela hii ya kwako inaboa kama ya Georgeeèee Maratoooooo wa aaaaaaaaaaiiiiitiiiiiiiiiiiviiiiiiiiiiiiiii, roryaaaaaaaaaaaam!
Sasa mahela yeye ana yake ya Sam Mahela wa Itv alafu anamalizia kama anadondosha bichwa, bro, unaboa sana! Njoo na symbol ya maana sio kupepesa bichwa!
Acha ushoga wewe kijana mdogo...unampenda eeh? Jipeleke kwake akuchane marinda!
 
Acha ushoga wewe kijana mdogo...unampenda eeh? Jipeleke kwake akuchane marinda!
Screenshot_2017-04-04-22-00-40-1.png

Kijana WATCH OUT!!
 
Yaani watu mna shida kila mtu ana signature yake mbona hata Hemed Kivuyo watu wasimba wanalia lia lakini tunampenda
 
Nimecheka sana
Sam Mahel bwana...masifa kama mwalimu mkuu.
 
Back
Top Bottom