TANZIA Mtangazaji Swedy Mwinyi wa TBC afariki Dunia

Poleni sana. Ukweli hayo majina yamenikumbusha mbili sana likiwemo la David Wakati. Nakumbuka kusikia uteuzi wake wa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa RTD nilipokuwa nasikiliza taarifa ya habari ambapo Raisi Mwinyi ndio alimteua David Wakati kuwa Mkurugenzi Mkuu.

Sued Mwinyi namkumbuka sana alipokuwa akitangaza mpira.

All in all, matukio kama haya, huwa yananifanya nione hapa duniani hapana maana kabisa.

Inasikitisha tunavyopukutika mmoja baada ya mwingine.
 
Apumzike kwa amani Swedy Mwinyi...

Alikuwa ana maneno yenye kuchangamsha sana na misemo mingi mipya kwenye kutangaza mpira...

Maneno kama "kumimina majimaji n.k"
 
I remember this day...
 

Poleni sana Pascal kwa kuondokewa na mwanatasnia lakini kwetu wengine tulikuwa tuunampenda sana Sued kwenye utangazi wa mpira na zile story zake.

Mwenyezi Mungu amfanyie mwepesi ndugu yetu huyu kwenye safari yake, amuondelee adhabu kaburi na InshaAllah amjalie pepo.

Pascal nawewe mkongwe sana aisee.
 
Ahmed Jongo
Ezekiel Malongo
Halima Mchuka
Sued Mwinyi

Mlifanya matangazo ya mpira na kioinfi cha michezo RTD kuwa moto sana!!
Nazeeka sasa

Pumzikeni kwa amani Ma-Legend
Ahmed Jongo kumbe alishafariki. Omary Jongo bado yupo?
 
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un

Jamii ya wanamchezo watamkumbuka sana kwa sauti yake iliyokuwa ikituhabarisha michezo hususani mpira wa miguu.
Alikua ana tangaza mpira vizur sana siyo Watangazaji wa sasa hawajui chochote zaidi ya kelele na wasifiwa wanajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…