Mtangazaji Twalibu Muwa Kujitangaza 'On Air' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika Chaguzi za CCM. Inaruhusiwa kimaadili?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni Mtangazaji ambaye ukiwa Unamsikiliza tu utagundua kuwa Kwanza ni Mswahili Mswahili.

Ni kwamba jana alipoingia (alipoanza Kipindi cha Michezo) cha Sports Headquarters cha EFM Saa 3 Kamili za Asubuhi alianza na Mbwembwe zake za Kishamba na 'Kujimwambafai' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika Chaguzi za CCM huko Kwao Temeke na kutaka aanze Kuheshimika.

Je, TCRA na hata Kimaadili kwa wana Habari ni sahihi na inaruhusiwa Mtu Kujinasibu Chama cha Siasa anachokishabikia tena kupitia Redio isiyo ya Chama?
 
Freedom of expression

Katiba yenu inaruhusu
 
Sasa katibu mwenezi wa kata wa ccm ana impact gani kwenye jamii?

Hakuna shida yeyote hapo, mbona watangazaji wa clouds kadhaa waligombea ubunge kura za maoni ccm na wote wakapigwa spana.

Tupatupa wa clouds kagombea udiwani kapigwa spana, Gondwe na Mwaipaya Sasa ni wakuu wa wilaya.

Wallace Karia ni mwanachama wa Simba lakini ndio Rais wa TFF.

Kuna una bifu na huyo jamaa msagie kunguni kwa sababu nyingine hii haina mashiko wala huna hoja.
 
Ni Mtangazaji ambaye ukiwa Unamsikiliza tu utagundua kuwa Kwanza ni Mswahili Mswahili na Pili ana Matatizo makubwa Kichwani yanayohitaji Msaada wa haraka wa ama Mwanasaikolojia au Tiba za Hospitali za Wagonjwa wa Akili.

Ni kwamba jana alipoingia (alipoanza Kipindi cha Michezo) cha Sports Headquarters cha EFM SAA 3 Kamili za Asubuhi alianza na Mbwembwe zake za Kishamba na 'Kujimwambafai' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika Chaguzi za CCM huko Kwao Temeke na kutaka aanze Kuheshimika.

Je, TCRA na hata Kimaadili kwa wana Habari ni sahihi na inaruhusiwa Mtu Kujinasibu Chama cha Siasa anachokishabikia tena kupitia Redio isiyo ya Chama?
EFM si mali ya serikali huenda mwajiri wake anaruhusu na pia huenda anataka kuachana na EFM.

Back
Top Bottom