GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
EFM si mali ya serikali huenda mwajiri wake anaruhusu na pia huenda anataka kuachana na EFM.Ni Mtangazaji ambaye ukiwa Unamsikiliza tu utagundua kuwa Kwanza ni Mswahili Mswahili na Pili ana Matatizo makubwa Kichwani yanayohitaji Msaada wa haraka wa ama Mwanasaikolojia au Tiba za Hospitali za Wagonjwa wa Akili.
Ni kwamba jana alipoingia (alipoanza Kipindi cha Michezo) cha Sports Headquarters cha EFM SAA 3 Kamili za Asubuhi alianza na Mbwembwe zake za Kishamba na 'Kujimwambafai' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika Chaguzi za CCM huko Kwao Temeke na kutaka aanze Kuheshimika.
Je, TCRA na hata Kimaadili kwa wana Habari ni sahihi na inaruhusiwa Mtu Kujinasibu Chama cha Siasa anachokishabikia tena kupitia Redio isiyo ya Chama?
Ni Mtangazaji ambaye ukiwa Unamsikiliza tu utagundua kuwa Kwanza ni Mswahili Mswahili na Pili ana Matatizo makubwa Kichwani yanayohitaji Msaada wa haraka wa ama Mwanasaikolojia au Tiba za Hospitali za Wagonjwa wa Akili.