TANZIA Mtangazaji Violet Mzindakaya amefariki

TANZIA Mtangazaji Violet Mzindakaya amefariki

Pumzika kwa amani mama,Mwenyezi Mungu akupe pumziko la amani,Wote ni waja wake na kwake tutarejea.Poleni sana wafiwa.
 
Hivi Mkuu eti kati ya hawa wapiga Magitaa ' maarufu ' ya Solo wa Kikongo Diblo Dibala na Dally Kimoko ni nani unaona labda yupo juu na mahiri kuliko mwenzake?
Ngouma Lokito huyu ni balaa
 
Gitaa la Dally Kimoko likikubali lazima tu utaamka kitini ucheze Mkuu. Halafu sijui ni kwanini Gitaa la Dally Kimoko huwa linapenda sana ' Kushtukiza ' hasa katika upigaji wake na ule mlio. Dada umeshawahi kulisikia lakini Gitaa hilo? Tafuta Wimbo wa ' Inde Monie ' wa Kanda Bongoman au ile Album ya Aurlus Mabele ya ' Stop Alertez ' utalisikia hilo Gitaa la Dally Kimoko jinsi linavyounguruma.
Halina mwenyewe unaweza kukuta hata wewe unalisikiliza bila kujua, siku sauti ikikolea lazima uamke kucheza!
 
Hivi Mkuu eti kati ya hawa wapiga Magitaa ' maarufu ' ya Solo wa Kikongo Diblo Dibala na Dally Kimoko ni nani unaona labda yupo juu na mahiri kuliko mwenzake?
Wote walikua sawa tu aisee kwa upande wangu.
 
Back
Top Bottom