Maisha ya mjini ni ni ujanja uyo dada hawezi kurupuka from no where nakuanza kuandika vile ili hali yupo chini ya kampuni ambayo ishajipambanua kuwa the people station, huoni kama kutanya hivyo nikuihalibia kapuni anayofanya kazi taswira yake kuwa clouds Media hawapo care nawafanyakazi wake yani haiwajali kipindi wanapopatwa na matatizo
Mfano kuna hii TATU MZUKA ipo chini ya kina Sebastian ndege nje ya hapo clouds wana program nyingi tu ambazo wangeweza msaidia issue yake hiyo lakini kwanini kaifanya public hivyo hapo ni kiki ngoja uone BASHITE anavyonata na hii Kiki nipo hapa
Hapo makonda wanataka kuja kujisafisha kuwa yeye ni rijali sema mkewe walikuwa na tatizo kama la uyu binti wa malinzi hivyo basi tuamini kuwa mh makonda yule mtoto si wakupandikizwa ni kawaida tu ngojeni muone
Kwakua tumeandika huu uzi hapa anaweza makonda asijitokeze kuona kuwa ramani yao tushaijua