Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Jiwe hawezi kufa ghafra kiasi hicho, ana presidential treatment.
Ndo mana anaringa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana alitoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe, tumshukuru mungu kwa kila jambo, amen
BP,Taarifa ya hivi punde ni kwamba Mtangazaji wa Clouds media Ephraim Kibonde ametangulia mbele za haki. Chanzo cha kifo chake ni BP.
Nakosa cha kuandika mimi..!nimekosa raha jaman..yaan machungu hayavumiliki
Mkuu wa mkoa anatoa taharifa za vifo siku hiziMkuu wa Mkoa wa Mwanza amethibitisha kwamba Mtangazaji wa CloudsFM Ephraim Kibonde amefariki akiwa Mwanza, alianza kusumbuliwa na Presha toka Bukoba kwenye msiba wa Ruge Mutahaba na kuhamishiwa Mwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ndio hivyo basi tunamuomba Mungu atuachie kwanza Kipanya,nani atamchora jiweVery sad aisee...Nani atakuwa MC katika msiba huu Sasa.
Kabisa mkuu.Very sad and touchy!Kila mja lazima ataonja mauti ila kinachosikitisha sana ni watoto wake!!Its very sad and touch!!