TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

Magonjwa yasiyoambukizwa kama magonjwa ya moyo (PRESHA) na kisukari ndo yanaongoza sasa katika nchi zinazoendelea kwa kuua. Haya ni magonjwa yanayothibitika na kuponyeka, ila weng wetu hatujui tunayo sababu hatuna kawaida ya kupima afya. Watu tukienda kupima afya, tunapima malaria tu. TUBADILIKE.
Haya magonjwa hayana dalili wala huhitaji kuwa mnene kuwa nayo. Presha ndo chanzo kikuu cha kiharusi. TUBADILIKE NDUGU ZANGU.
 
Mwanadamu kumbuka ,sisi ni mavumbi, na mavumbini tutarudi.

R.I.P..Ephraim Kibonde.
 
Fundisho kwa tuliobaki ni kuwa tujali afya zetu kwa kula chakula bora siyo bora chakula. Vyakula vingi siku hizi havina ubora ingawa vitamu, kwani vinaleta matatizo ya presha kuwa juu. The poor kids mwaka jana tu wamefiwa na mama yao na leo baba yao anaondoka!!!! I can imagine jinsi walivyoumia!!!! All in all tuliobaki tuangalie afya zetu kwani magonjwa mengine yanaepukika especially High Blood Pressure.
 
Kuna msemo nashindwa kuuandika wakisukuma..mtu akifa na mwingine wa familia hyo hyo kwa muda mfupi wanasema yule wa kwanza amemwita huyu wa 2 ..yaan walikua wanapendana au roho yao ilikua 1..Ruge kakataa kwenda alone kamwita Kibonde..
sasa sijajua kama urafiki wa namba 1 na mkuu wa mkoa mkubwa watatangulizana hvi!polenCMG
 
Rip Kibonde
 
Hiyo aya ya pili na yatatu ni kama umemuandikia kibonde aisome.... unfortunately hatoweza kusoma tena sembuse kunyanyua simu....all in all hakuna binadamu mkamilifu....tusameheane tunapokoseana.....ili mwishoni mwa siku tupumzike kwa amani huko tuendako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…