Magonjwa yasiyoambukizwa kama magonjwa ya moyo (PRESHA) na kisukari ndo yanaongoza sasa katika nchi zinazoendelea kwa kuua. Haya ni magonjwa yanayothibitika na kuponyeka, ila weng wetu hatujui tunayo sababu hatuna kawaida ya kupima afya. Watu tukienda kupima afya, tunapima malaria tu. TUBADILIKE.
Haya magonjwa hayana dalili wala huhitaji kuwa mnene kuwa nayo. Presha ndo chanzo kikuu cha kiharusi. TUBADILIKE NDUGU ZANGU.
Haya magonjwa hayana dalili wala huhitaji kuwa mnene kuwa nayo. Presha ndo chanzo kikuu cha kiharusi. TUBADILIKE NDUGU ZANGU.